• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari 10 wa Tanzania wafa kwenye mazoezi ya kijeshi

    (GMT+08:00) 2020-02-04 09:10:01

    Mkuu wa jeshi la ulinzi la Tanzania TPDF, jenerali Venance Mbeyo amesema, askari 10 wa jeshi hilo wamekufa kwenye mazoezi ya kijeshi. Jenerali Mabeyo amewaambia waandishi wa habari kuwa askari wengine watano wamepata matibabu kwenye hospitali ya jeshi ya Lugalo mjini Dar es Salaam.

    Ameongeza kuwa, askari hao walianza kujisikia vibaya tarehe 30 Januari kwenye matembezi marefu katika eneo la Msata, na wanadhaniwa kula chakula au kinywaji chenye sumu. Sampuli zimepelekwa kwenye maabara ya mkemia mkuu kwa ajili ya uchunguzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako