• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Samatta ampa mchongo Msuva

  (GMT+08:00) 2020-02-06 19:30:43

  Mshambuliaji wa Difaa el Jadida ambaye ni raia wa Tanzania, Simon Msuva, amesema Mbwana Samatta amefungua milango ya kucheza soka Ulaya. Msuva amesema amejifunza kupitia Samatta baada ya kujiunga na Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England, na kusema anatarajia idadi kubwa ya mawakala wataanza kuitupia jicho Tanzania kupitia jina la Samatta. Msuva kwa sasa ni miongozni wa wachezaji tegemeo wa Difaa na miongoni mwa wachezaji wanaotegemea kuuzwa mwishoni mwa msimu kutokana na kufanya vizuri katika Ligi ya Morocco, mashindano ya Afrika na timu ya taifa ya Tanzania.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako