• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachimbaji wawili wa madini wamekufa na wengine 20 wakwama katika mgodi wa dhahabu Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2020-02-07 10:02:06

    Wachimba madini wawili wamekufa na wengine 20 wamekwama baada ya kubomokewa na shimo katika mgodi wa dhahabu nchini Zimbabwe. Janga hilo lilitokea juzi usiku kwenye mgodi wa Globe and Phoenix ulioko sehemu ya Kwekwe, umbali wa kilomita 200 na kusini na magharibi mwa Harare, mji mkuu wa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako