• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mayweather amkataa Pacqiao kijanja

  (GMT+08:00) 2020-02-07 18:09:45

  Bondia wa Marekani Floyd Mayweather Jr anaonekana kukwepa kijanja kurudiana na Mannu Pacquiao, kutokana na kuendelea kusisitiza kuwa amestaafu mchezo huo na hana mpango wa kurudi ulingoni. Licha ya kambi ya Pacquiao kumfuata bondia huyo ambaye hivi karibuni alidai kuwa anataka kurudi ulingoni, amekuwa akisisitiza kuwa amestaafu na hana mpango wa kupigana na Mfilipino huyo. Ingawa Mayweather anakataa kurudiana na Pacquiao kwa madai kuwa amestaafu ndondi, lakini amekuwa akiweza wazi nia yake ya kurudi ulingoni, na kinachosubiriwa na mpinzani tu wa kupambana naye.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako