• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kili Canvas kunogesha Kili Marathon

  (GMT+08:00) 2020-02-10 18:03:19

  Kampuni ya Bia nchini Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager, imezindua Kili Canvas itakayotumika kuhamasisha wanariadha wa vitongoji tofauti vya jiji la Dar es Salaam na mji wa Moshi katika kuelekea kilele cha Mbio za Kili Marathon zinazotarajiwa kufanyika tarehe Mosi mwezi ujao mkoani Kilimanjaro. Meneja wa Bia hiyo Pamela Kikuli amesema, Kili Canvas itawekwa katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam na baadaye mjini Moshi ili kuwahamasisha wakimbiaji mbalimbali kuelekea shindano hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako