• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi akagua kazi za kuzuia na kudhibiti vurusi vya korona Beijing

    (GMT+08:00) 2020-02-10 20:00:43
    Rais Xi Jinping wa China amekagua kazi za kuzuia na kudhibiti virusi vipya vya korona hapa Beijing.

    Rais Xi ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC, alitembelea eneo la makazi la Anhuili, Wilaya ya Chaoyang hapa Beijing akiangalia kazi za kuzuia na kudhibiti maambukizi ya virusi katika ngazi ya shina, pia utoaji wa vitu vinavyohitajika kila siku na kuwalimia wakazi na wafanyakazi wa eneo hilo.

    Rais Xi amesisitiza kushinda kwa uthabiti vita ya watu ya kuzuia na kudhibiti mlipuko kwa uhakika zaidi, nguvu zaidi na kwa hatua zenye ufanisi zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako