• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • kupuunguzwa kwa kazi katika kampuni ya mafuta ya Tullow kwa endelea kutia wasiwasi

    (GMT+08:00) 2020-02-10 20:18:40

    Tangazo la kupuuza kazi la hivi karibuni kutoka kampuni ya mafuta ya Tullow nchini Kenya imezua masuali mengi juu ya uwezekano wa utafutaji wa mafuta nchini.

    Mpango wa kupunguzwa kwa kazi, unakuja muda mfupi baada ya kampuni hiyo kutangaza uuzaji wa hisa yake yote nchini Kenya na mipango ya kupunguza mtaji wa uwekezaji wake katika mradi wa Kenya, hatua hizi zinauwezekano wa kumaliza mradi huu wa mafuta, amabo ulidhibitishwa na serikali kama mafanikio muhimu ya kiuchumi Kenya.

    Kampuni hiyo, ambayo imekuwa mwendeshaji mkuu wa mradi wa Mafuta Kenya, na Mafuta ya Jumla na Mafuta ya Afrika kama washirika wake wa pamoja, imekuwa ikikabiliwa na vikwazo vya kifedha.

    Tullow karibu amegawa matumizi yake ya mtaji nchini Kenya ambayo imefika sh bilioni 4.06 sawa na dola milioni ($ 40.6 milioni), kutoka sh bilioni 7 sawa na dola milioni ($ 70) iliyotumiwa mwaka wa 2019.

    Hatua hii inaonyesha kupungua kwa matumizi ya kampuni kwa karibu nusu hadi dola milioni 75 na kusawazisha kwa mipango ya gawio lake la dola milioni 100 kwa hofu kwamba marshati makali zaidi yaweza kutangazwa pamoja na matokeo ya mwaka mzima inayotarajiwa tarehe 12 Machi.

    Bado haijawekwa wazi ni wafanyikazi wangapi kutoka kampuni hiyo wa simamishwa kazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako