• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • wazalishaji wa chakula wapinga ada mpya

    (GMT+08:00) 2020-02-10 20:19:01

    Waagizaji wa vyakula, wauzaji na wazalishaji wameweka upinzani mgumu juu ya ushuru mpya ulioletwa na mdhibiti wao, Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Rwanda (FDA), wamesema niya gharama ya juu na itaathiri vibaya biashara zao.

    Wamesema haya wakati wa mkutano wa mashauriano uliowavutia maafisa wa FDA na wafanyibiashara.

    Katika jitihada za kuboresha ulinzi wa watumiaji, shirika la kudhibiti Agosti mwaka jana ilianzisha muundo wa ada.

    Lakini wazalishaji wa chakula wanafikiria kuwa ni 'ghali' na wanadai kanuni tiliwa makazo zataka kuwatoa katika soko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako