Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amesema ndege mbili zitatoka kwa Shirika la Kudhibiti nzige kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (DLCO-EA) na moja kutoka kwa Shirika lililoko Zambia la Kudhibiti nzige wekundu ya Afrika ya Kati na Afrika Kusini (IRLCO-CSA).
Serikali imechukua tahadhari zote za kupambana na nzige ambao hadi sasa hawajavamia nchi ya Tanzania.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |