Upungufu huo unatokana na ukameulioikumba nchi hiyo na kusababisha upungufu wa zao hilo msimu wa mwaka jana.
Mavuno ya mahindi katika msimu wa kwanza mwaka huu, yalianza katikati ya Januari na utamalizika Machi mwaka huu.
Kulingana na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wakulima nchini Rwanda, kwa wastani uwekezaji wa wakulima kwa hekta ni faranga 700,000 hadi faranga 900,000.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |