Ofisa wa idara ya usalama ya Yemen amesema, kituo cha jeshi la serikali ya nchi hiyo kilichoko mkoani Abyan, kusini mwa nchi hiyo kimeshambuliwa kwa makombora yaliyorushwa na kundi la Houthi, na askari watatu wamefariki na wengine 15 wamejeruhiwa kwenye shambulizi hilo. Lakini kundi la Houthi halijasema kama limehusika na shambulizi hilo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |