• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Katibu mkuu wa chama cha Jubilee nchini Kenya apata ajali

  (GMT+08:00) 2020-02-12 18:21:00

  Katibu mkuu wa chama tawala nchini Kenya, Jubilee, Raphael Wanjiku amejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea kwenye barabara kuu ya Nairobi – Nakuru mapema leo. Kamanda wa jeshi la Polisi eneo la Kati Patrick Lumumba amesema, ajali hiyo ilitokea majira ya saa moja kasorobo asubuhi kwa saa za Kenya baada ya basi dogo la abiria kukwepa kugonga gari lililosimama ghafla mbele yake na kugongana uso kwa uso na gari lililombeba Bw. Tuju. Katibu mkuu huyo amepelekwa Nairobi kwa matibabu zaidi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako