• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Twiga Stars yaenda Tunisia

  (GMT+08:00) 2020-02-12 18:23:04

  Timu ya Soka ya Taifa Wanawake nchini Tanzania (Twiga Stars) imeondoka nchini hum oleo alfajiri kuelekea Tunisia kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kombe la UNAF yatakayoshirikisha nchi tano barani Afrika. Mbali na Tanzania ambao ni wageni, nchi nyingine zinazotarajiwa kushiriki mashindano hayo yanayoanza kesho mpaka tarehe 22 mwezi huu ni Morocco, Algeria, Mauritius na wenueji Tunisia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako