• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yaidhinisha dola milioni 1.8 kupambana na nzige

    (GMT+08:00) 2020-02-12 18:57:06

    Baraza la mawaziri nchini Uganda limeidhinisha jumla ya dola million 1.8 kusaidia juhudi za kupambana na nzige ambao tayari wamevamia nchi hiyo.Hii ni baada ya Uganda kutoa dola milioni 3 kati ya 4 kulipia uanachama kwa shirika la kukabiliana na nzige Afrika mashariki.Shirika hilo limezileta pamoja nchi za Uganda, Kenya, Ethiopia, Sudan, Sudan Kusini, Eritrea, Somalia na Djibouti. Shirika hilo limeanza mikakati ya kukabiliana na nzige hao ili kuzuia uharibifu ambao huenda ukapelekea uhaba wa chakula katika eneoi zima la Afrika mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako