• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya yalenga kukusanya dola bilioni 3.5 kufadhili miradi ya ajenda kuu nnne za serikali

  (GMT+08:00) 2020-02-12 18:59:59

  Serikali ya Kenya imesema inategemea fedha za wakenya kutoka nje kuwekeza katika miradi ya ajenda kuu nne za serikali. Kenya imesema inapanga kutoa hati za fedha kwa wakenya walioko nje ili waweze kuwekeza katika sekta ya nyumba, usalama wa chakula, utengenezaji bidhaa na afya kwa wote. Fedha hizo pia zinatarajiwa kwenda kwa uwekezaji wa kilimo biashara na usindikaji wa bidhaa huku mazungumzo yakiendelea kuelekeza uwekezaji katika vifaa vya matibabu kama vile vituo vya kutibu ugonjwa wa saratani. Serikali ya Kenya imesema inaweza kukusanya jumla ya dola bilioni 3.5 zinazohitajika kufadhili mradi awamu ya tatu ya mradi wa ujenzi wa reli ya SGR kutoka Suswa hadi Kisumu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako