• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tamasha kubwa la muziki barani Afrika lafanyika Zanzibar, Tanzania

  (GMT+08:00) 2020-02-14 09:45:15

  Tamasha kubwa la muziki la Sauti za Busara limefunguliwa huko Zanzibar, Tanzania, likiwaleta pamoja wasanii kutoka bara zima la Afrika. Mkurugenzi wa tamasha hilo Bw. Yusuf Mahmoud ametoa wito watalii kutoka nchi mbalimbali duniani kwenda kwenye tamasha hilo kushuhudia na kushiriki kwenye shughuli hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako