• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Marefa wa EPL washindwa kuingia katika orodha ya waamuzi wa kimataifa wa FIFA

  (GMT+08:00) 2020-02-14 09:47:28

  Marefa wa EPL Andy Madley na David Coote wamefeli vipimo vya utimamu (fitness) vya waamuzi na kushindwa kuingia katika orodha ya waamuzi wa kimataifa wa FIFA, wawili hao inadaiwa wameshindwa kwa sababu ya baridi na kuugua mafua. Wawili hao wameshindwa kufikia viwango wanavyovitaka FIFA vya utimamu wa mwili kwa marefa kitu ambacho kinaaminika kuwa kinasaidia sana marefa kufanya vizuri mchezoni, kwani kuwa timamu itakuwa ni rahisi kwao kufanya maamuzi sahihi katika kila kwa sababu wanaweza kufika kila mahali,

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako