• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wadau wa Michezo waipongeza Tigo- Kili half marathon kwa kuibua vipaji

  (GMT+08:00) 2020-02-14 17:05:57

  Wadau wa riadha mkoani Kilimanjaro wamepongeza mchango mkubwa unaofanywa na Mbio maarufu Afrika Mashariki za Tigo Kili Half Marathon katika kuibua vipaji mbalimbali vya wanariadha wanaoiwakilisha vyema Tanzania katika medani mbalimbali za mashindano yam bio za kitaifa na kimataifa. Wadau hao wanasema Tigo Kili Half Marathon imewaibua wanariadha wengi mashuhuri na ina mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa riadha nchini Tanzania. Mbio za Tigo Kili Half Marathon zilizozinduliwa hivi karibuni mjini Moshi na wadau mbalimbali kutoka katika mataifa mbalimbali duniani wanatarajiwa kwenda Kilimanjaro, hivyo kuleta neema kubwa ya kiuchumi mkoani humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako