• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Shanta Gold yawekeza dola milioni  24 Kenya

  (GMT+08:00) 2020-02-14 19:40:17
  Kampuni ya madini ya Shanta Gold imewekeza dola milioni 24 milioni za kuajiri wafanyakazi na kufanya utafiti wa dhahabu katika eneo la magharibi mwa Kenya.

  Kampuni hiyo tayati ilikuwa imenunua leseni kutka kwa kampuni ya Barrick Gold ya Canada za kuendesha shughuli kwenye eneo hilo.

  Fedha hizo zitatumika kwa zaidi ya miaka mitatu.

  Kampuni ya Shanta inanunua operesheni za Magharibi mwa Kenya kutoka kwa Barrick Gold kwa gharama ya jumla ya dola milioni 14.5 (Sh1.4 bilioni).

  Makubaliano ya ununuzi huo yanatarajiwa kukamilika katikati ya mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako