• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wajumbe wa Chama cha Biashara cha Marekani  wazuru Kigali

  (GMT+08:00) 2020-02-14 19:40:34
  Wajumbe wa Chama cha Biashara cha Marekani (AMCHAM), wamezuru Kigali kujifunza maendeleo yaliopo kwenye huduma za kuagiza na kuuza nje bidhaa.

  Baada ya ziara hiyo, Lauren Nkuranga ambaye aliwaongoza wajumbe alielezea kujitolea kwao katika kuimarisha biashara zao nchini Rwanda.

  Wajumbe walitembelea ghala mbili zinazofanya kazi kwa mfumo wa kisasa ambao umeanzishwa hivi karibuni nchini Rwanda na pia ni wa pili wa aina yake barani Afrika.

  Walielezewa kuhusu huduma za kiwango cha kimataifa ambazo zinarahisisha oparesheni kutoka siku 10 hadi siku tatu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako