• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Teknolojia ya hali ya juu yachangia mapambano dhidi ya virusi vya Korona

    (GMT+08:00) 2020-02-16 18:24:05

    Katika juhudi za kuzuia maambukizi ya virusi vipya ya Korona, China imezindua software moja inayoweza kusaidia kutafuta watu waliokuwa karibu na wagonjwa. Software hiyo imetengenezwa kwa mujibu wa data kubwa zilizopatikana kutoka kwa idara za afya, mawasiliano na uchukuzi, mashirika ya reli na ndege, imetumiwa mara milioni 13.

    Wakati huohuo serikali kuu ya China imeimarisha kazi ya uratibu na kusafirisha chakula na vitu mbalimbali katika mikoa yenye mahitaji, ukiwemo Hubei ambao ni kiini cha maambukizi hayo. Vitu hivyo ni pamoja na mahema, makoti, mablanketi na vitanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako