• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wagonjwa 9,419 waruhusiwa kurudi nyumbani baada ya kupona maambukizi ya virusi vya Korona

    (GMT+08:00) 2020-02-16 18:24:54

    Mamlaka za afya za China zimesema hadi kufikia jana jumamosi wagonjwa 9,419 walioambukizwa virusi vya Korona wameruhusiwa kuondoka hospitali na kurudi nyumbani.

    Taarifa ya kila siku inayotolewa na kamati ya afya ya taifa, imesema jana watu 1,323 waliruhusiwa kuondoka baada ya kupona.

    Hadi kufikia jana jumla ya watu 1,665 walikufa kutokana na kuambukizwa virusi vya ugonjwa huo, huku kwa jumla watu 68,500 wameripotiwa kuambukizwa virusi vya ugonjwa huo katika mikoa 31 ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako