• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa usalama wa Munich wafungwa bila makubaliano ya "ukosefu wa nchi za magharibi"

  (GMT+08:00) 2020-02-17 09:26:31

  Mkutano wa 56 wa usalama wa Munich MSC umefungwa jana ambapo waliohudhuria mkutano huo wameshindwa kufikia makubaliano kuhusu "ukosefu wa nchi za magharibi". Mwenyekiti wa mkutano huo Wolfgan Ischinger amesema hayo ni maoni tofauti kati ya Umoja wa Ulaya na Marekani, amesisitiza kuwa kama hawatasikilizana, watashindwa kulitatua.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako