• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchunguzi wa miili ya wagonjwa wawili wa COVID-19 wamalizika huko Wuhan

    (GMT+08:00) 2020-02-17 10:01:26

    Hospitali ya Jinyintan ya Wuhan imesema uchunguzi wa miili ya wagonjwa wawili waliofariki kutokana na virusi vipya vya korona aina ya COVID-19 umemalizika huko Wuhan.

    Imesema matokeo yamewasilishwa kwa watafiti kufanya uchunguzi zaidi kuhusu patholojia ya ugonjwa huo, ili kuwatibu wagonjwa mahututi kwa njia bora zaidi.

    Profesa Liu Liang wa Chuo cha Matibabu cha Tongji kwenye Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Huazhong amesema, watafanya utafiti kuhusu jinsi virusi vinavyosambaa kwenye mwili wa mgonjwa na mahali vinaposhambulia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako