• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalamu wa kigeni kutoka kikundi cha wataalamu wa China na WHO wawasili Beijing

    (GMT+08:00) 2020-02-17 20:20:53

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amethibitisha kuwa, wataalamu wa kigeni kutoka kikundi cha mseto cha wataalamu wa China na Shirika la Afya Duniani (WHO) wamewasili hapa Beijing, wakiwemo wataalamu kutoka Marekani.

    Ameongeza kuwa kikundi hicho kimeanzisha shughuli husika na kitaenda kufanya uchunguzi hapa Beijing, mkoani Guangdong na Sichuan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako