• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Guterrez ataka uungaji mkono zaidi kwa wakimbizi wa Afghanistan

  (GMT+08:00) 2020-02-18 09:18:43

  Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres ambaye yuko ziarani nchini Pakistan, amesema jumuiya ya kimataifa inapaswa kuchukua hatua zaidi kuwasaidia wakimbizi wa Afghanistan.

  Mkutano wa kimataifa kuhusu suala la wakimbizi wa Afghanistan ulifanyika jana huko Islamabad, ambapo Bw. Guterrez ameipongeza Pakistan kutokana na hatua zake za kuwasajili, kutoa elimu na huduma za afya kwa wakimbizi wa Afghanistan.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako