• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Balozi wa Tanzania nchini China aiunga mkono China kupambana na virusi vya Korona

  (GMT+08:00) 2020-02-18 10:01:54

  Balozi wa Tanzania nchini China Bw. Mbelwa Kairuki ameishukuru China kutokana na juhudi zake katika mapambano dhidi ya virusi vya Korona, na pia ameishukuru serikali ya China kutoa msaada kwa wanafunzi wa Tanzania walioko mjini Wuhan.

  Amesema China na Tanzania zina urafiki wa muda mrefu, katika wakati huu mgumu nchi hizo mbili zinapaswa kushirikiana kwa karibu zaidi ili kukabiliana na changamoto kwa pamoja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako