• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Asilimia 80 ya kampuni za uzalishaji zinazomilikiwa na serikali kuu zimeanza kazi tena

    (GMT+08:00) 2020-02-18 18:48:37

    Kamati ya usimamizi wa mali za serikali iliyo chini ya Baraza la Serikali la China imesema asilimia 80 ya kampuni zaidi ya elfu 20 zinazomilikuwa na serikali kuu zimeanza kazi tena.

    Kamati hiyo itaziongoza kampuni hizo kuanza uzalishaji hatua kwa hatua kwenye msingi wa kukinga maambukizi ya virusi vipya vya korona (COVID-19), ili kuhakikisha utoaji tulivu wa bidhaa muhimu.

    Takwimu zinaonesha kuwa, kampuni hizo zimeanza kazi tena kwenye sekta za mafuta, mawasiliano ya simu, umeme, usafiri na uchukuzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako