• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuanza mchakato wa misamaha ya ushuru kwa uagizaji kutoka Marekani

    (GMT+08:00) 2020-02-18 19:03:53

    China itaanza kupokea maombi ya ya ushuru kwa uagizaji wa baadhi ya bidhaa kutoka Marekani, ikiwa ni pamoja na vifaa vya matibabu kuanzia tarehe 2 Machi.

    Kamati ya ushuru ya forodha ya China imesema, aina 696 za bidhaa zinazoagizwa kutoka Marekani ziko kwenye orodha ya kupata msamaha wa ushuru, zikiwa ni pamoja na nyama ya nguruwe, nyama ya ng'ombe, soya, vifaa vya matibabu, gesi asili na mafuta ya asili.

    Makampuni ya ndani yanayotafuta msamaha wa ushuru wa ziada kwa bidhaa za Marekani pia yanaweza kuwasilisha maombi kutoka tarehe 2 Machi, na msamaha utatekelezwa kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya kupitishwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako