• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Raiola azidisha chokochoko, kisa Pogba ang'oke Manchester United

    (GMT+08:00) 2020-02-19 17:36:18

    Wakala wa mchezaji Paul Pogba wa Manchester United, Mino Raiola ameendeleza vita ya maneno dhidi ya timu hiyo, safari hii akimlenga kocha wa Man United Ole Gunnar Solskjaer, ukiwa ni mwendelezo wa harakati zake za kumng'oa mteja wake Old Trafford. Raiola ambaye anafanya kila njia kuhakikisha anafanikisha dili la mteja wake kurudi Juventus, amemwambia Solskjaer kuwa Pogba sio mfungwa na hamilikiwi na mtu yoyote Man United.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako