• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kesi ya rushwa inayomkabili waziri mkuu wa Israel kusikilizwa mwezi ujao

  (GMT+08:00) 2020-02-19 18:14:58

  Wizara ya sheria ya Israel imesema, kesi ya rushwa inayomkabili waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Benjamin Netanyahu itasikilizwa tarehe 17, mwezi wa Machi, wiki mbili baada ya uchaguzi mkuu wa tatu.

  Bw. Netanyahu ambaye ni waziri mkuu wa kwanza wa Israel kushtakiwa akiwa madarakani, amekanusha mashtaka yote matatu ya rushwa yanayomkabili.

  Wizara hiyo pia imesema, Bw. Netanyahu atatakiwa kwenda katika mahakama ya wilaya ya Jerusalem kusikiliza kesi yake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako