• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ataka ulinzi na huduma kwa wafanyakazi wa afya

    (GMT+08:00) 2020-02-19 18:17:49

    Rais Xi Jinping wa China ametoa wito wa kufuatiliwa kwa makini zaidi ulinzi na huduma kwa wafanyakazi wa afya ili kuhakikisha wana afya njema na wanafanya kazi kwa makini ili kushinda vita dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya korona.

    Rais Xi amesema hayo katika maagizo aliyoyatoa hivi karibuni katika kuwalinda wafanyakazi wa afya wanaoshiriki katika juhudi za kukinga na kudhibiti mlipuko wa virusi vya korona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako