• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya WHO ipo China kuchunguza COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-02-20 09:39:58

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw Tedros Ghebreyesus amesema timu ya wataalamu wa nchi mbalimbali inayoongozwa na shirika hilo sasa ipo nchini China, ikifanya kazi na wenzao wa China ili kupata ufahamu zaidi kuhusu ugonjwa mpya wa COVID-19, unaosababishwa na virusi vya korona.

    Bw Tedros pia amesema ametoa taarifa kwa nchi wanachama wa shirika hilo juu ya mambo muhimu yanayohusu ugonjwa huo, ambayo ni pamoja na kuwa jumuiya ya kimataifa inapaswa kuongeza mchango kwa nchi mbalimbali ili kujiandaa kukabiliana na ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako