• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mgunda hesabu zake kwa Yanga

    (GMT+08:00) 2020-02-20 16:40:05

    Kocha wa timu ya Coastal Union ya Tanga, Juma Mgunda amekiri uzembe ulisababisha kupoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting ambapo timu hiyo ilifungwa bao 2 – 1, lakini sasa wanajiandaa kupata ushindi kwenye mchezo utakaochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, dhidi ya timu ya Yanga. Amesema ameanza kuwapa wachezaji wake mbinu mpya zitakazosaidia kupata ushindi kwenye mechi dhidi ya Yanga, mchezo ambao utakuwa mgumu kwani kila timu inahitaji ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya msimamo wa Ligi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako