• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Shirika la ndege la Iraq lasimamisha safari za ndege kwenda Iran kutokana na COVID-19

  (GMT+08:00) 2020-02-21 09:41:45

  Shirika la ndege la Iraq limesimamisha safari za ndege kwenda na kurudi kutoka Iran ikiwa ni hatua ya kuzuia maambukizi ya virusi vya COVID-19 baada ya kutokea nchini Iran. Uamuzi huo umetolewa na wizara ya uchukuzi baada ya wizara ya afya ya Iran kutoa mapendekezo ya kuchukua hatua za lazima za kuzuia maambukizi ya virusi hivyo nchini Iraq. Mapema ya siku hiyo, mamlaka ya Iraq imeamua kuwazuia wairan kuingia Iraq na wairaq kwenda Iran.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako