• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya pamoja ya wataalmu wa China na WHO yatembelea mkoa wa Hubei

    (GMT+08:00) 2020-02-24 19:57:17

    Timu ya pamoja ya wataalamu wa China na Shirika la Afya Duniani (WHO) imetembelea mkoa wa Hubei wikiendi iliyopita kufanya uchunguzi katika mkoa huo ambao ni chimbuko la maambukizi ya virusi vya korona (COVID-19).

    Wataalamu hao waliitembea hospitali ya Tonji, kituo cha Michezo cha Wuhan kilichobadilishwa kuwa hospitali ya muda, na kituo cha udhibiti na kinga ya ugonjwa cha mkoa wa Hubei na kuchuguza hatua za kudhibiti, kukinga na kutiba ugonjwa huo.

    Wataalamu hao pia walifanya mazungumzo na maofisa na wataalamu wa mkoa wa Hubei na kutoa taarifa fupi ya uchunguzi na mapendekezo yao kwa mkurugenzi wa Kamati ya Afya ya Taifa ya China, Bw. Ma Xiaowei.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako