• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa Malaysia ajiuzulu

  (GMT+08:00) 2020-02-24 19:57:34

  Ofisi ya waziri mkuu wa Malaysia imetangaza kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Mahathir Mohamad amewasilisha barua ya kujiuzulu wadhifa huo kwa kiongozi wa nchi hiyo.

  Taarifa iliyotolewa na Ofisi hiyo imesema, barua hiyo imewasilishwa kwa mfalme wa nchi hiyo leo mchana. Awali, Chama cha PPBM kinachoongozwa na Bw. Mahathari kilitangaza kujitoa kutoka muungano wa vyama vya kisiasa wa Hope unaotawala nchi hiyo, huku kikisema wabunge wote wa chama hicho wataendelea kuunga mkono Bw. Mahathari kuendelea kushika wadhifa wa waziri mkuu.

  Muungano huo unaoongozwa na Bw. Mahathari ulipata ushindi katika uchanguzi mkuu uliofanyika mwezi wa Mei mwaka 2018, na alichaguliwa kuwa waziri mkuu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako