• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asema Afrika kuiunga mkono China katika mapambano dhidi ya virusi vya korona ni ishara ya urafiki wa kindugu

    (GMT+08:00) 2020-02-25 20:43:42

    Rais Xi Jinping wa China amesema, nchi za Afrika kuiunga mkono China katika vita dhidi ya mlipuko wa virusi vya korona kumeonyesha wazi urafiki wa kindugu wa kushirikiana katika shida na raha, pia kusaidiana kati ya China na nchi za Afrika.

    Rais Xi amesema hayo alipozungumza kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abuy Ahmed hii leo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako