• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia

  (GMT+08:00) 2020-02-26 09:23:36

  Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak amefariki dunia jana Jumanne, akiwa na umri wa miaka 91. Hosni Mubarak alichaguliwa kuwa rais wa Misri kwa mara ya kwanza mwezi Oktoba mwaka 1981, na kuendelea kuitawala nchi hiyo kwa karibu miaka 30. Mwezi Januari mwaka 2011, alijiuzulu urais wake baada ya maandamano makubwa ya kuipinga serikali kuibuka nchini humo, na akakabiliwa na mashtaka kadhaa. Mwezi Machi mwaka 2017, Mubarak aliachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako