• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kitabu cha "vita ya China dhidi ya COVID-19" chachapishwa

    (GMT+08:00) 2020-02-26 17:30:32

    Kitabu cha "vita ya China dhidi ya COVID-19" kilichotungwa na Shirika la Uchapishaji la Wuzhou na Shirika la Uchapishaji la China chini ya usimamizi wa Idara ya Uenezi ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC na Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China kimechapishwa hivi karibuni.

    Kitabu hicho kimeeleza jinsi Wachina wanavyopambana na COVID-19 chini ya uongozi wa rais Xi Jinping na Kamati Kuu ya CPC, na kushirikiana na jamii ya kimataifa ili kulinda usalama wa afya ya kikanda na kimataifa.

    Kitabu hicho ni cha kwanza kuhusu China kukabiliana na COVID-19, na kitatafsiriwa kwa lugha tano za kigeni za Kiingereza, Kifaransa, Kihispania, Kirusi na Kiarabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako