• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Makamu wa rais wa Iran athibitishwa kuambukizwa virusi vya korona

  (GMT+08:00) 2020-02-28 09:05:25

  Makamu wa rais wa Iran anayeshughulikia mambo ya wanawake na familia Bibi Masoumeh Ebtekar jana amethibitishwa kuambukizwa virusi vya korona.

  Mapema jana mwenyekiti wa kamati ya usalama wa taifa na sera za kidiplomasia ya Iran Bw. Mojtaba Zonnour, ambaye pia amethibitishwa kuambukizwa virusi, ametoa wito kwa raia wa Iran wawe watulivu na kusema, nchi yao ina uwezo wa kushinda mapambano dhidi ya virusi hivyo. Habari zinasema, ibada ya sala ya ijumaa mjini Tehran imefutwa kutokana na mlipuko wa virusi hivyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako