• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Yang Jiechi kufanya ziara Tajikistan, Uzbekistan na Kazakhstan

    (GMT+08:00) 2020-02-28 21:30:59

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema mjumbe wa ofisi ya siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China ambaye pia ni mkurugenzi wa ofisi ya Tume ya Mambao ya Kigeni ya Kamati hiyo Bw. Yang Jiechi atafanya ziara katika nchi za Tajikistan, Uzbekistan na Kazakhstan kuanzia kesho hadi Jumatano ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako