• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaongeza nguvu kusaidia makampuni maddogo na yenye ukubwa wa kati kupitia wakati ngumu

    (GMT+08:00) 2020-03-02 10:00:23

    Idara tano za China ikiwemo Kamati ya usimamizi wa mambo ya benki na bima, zimeahirisha muda wa kulipa mikopo kwa makampuni madogo na yenye ukubwa wa kati yaliyoathiriwa kutokana na mlipuko wa nimonia ya COVID-19 inayosababishwa na virusi vipya vya korona, ili kuvisaidia kupitia wakati huu mgumu.

    Mbali na hatua hizo makampuni hayo yaliyoathiriwa vibaya zaidi katika mkoa wa Wuhan yatapewa mikopo maalumu, ili kuyapunguzia gharama za kifedha kwa zaidi ya asilimia 1 kuliko mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako