• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kocha Jurgen Klopp asema bado Liverpool itafufuka baada ya kuzimwa na Watford

    (GMT+08:00) 2020-03-02 16:40:02

    Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema timu yake itafufuka tena baada ya ushindi wa kushangaza dhidi ya Watford katika mechi yao ya mwisho ya Ligi Kuu. Vijana wa Klopp ambao hawajawahi kupata kichapo tangu kuanza kwa msimu huu, walicharazwa magoli 3-0 na Watford ambayo inajizitatiti kutoondolewa katika Ligi hiyo. Kichapo hicho kina maana kuwa Liverpool hawatamaliza msimu huu bila kufungwa, rekodi ambayo inaendelea kushikiliwa na Arsenal chini ya kocha Arsene Wenger. Tangu Mfaransa huyo kukamilisha msimu wa mwaka 2003/04 wa Ligi Kuu bila kichapo, hakuna timu nyingine ya Uingereza iliyovunja rekodi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako