• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • OLIMPIKI: Michezo ya Olimpiki huenda ikaahirishwa mpaka mwishoni mwa mwaka huu

    (GMT+08:00) 2020-03-03 17:54:10

    Gazeti la Daily Mail limeripoti kuwa, huenda michezo ya Olimpiki ya Tokyo ikaahirishwa hadi mwishoni mwa mwaka huu, ikiwa ni katika jitihada za kuzuia kuenea kwa virusi vya korona. Waziri wa Olimpiki nchini Japan Seiko Hashimoto ameliambia bunge la nchi hiyo kuwa, makubaliano ya Japan na Shirikisho la Kimataifa la Olimpiki (IOC) linawaruhusu kuchelewesha kuanza kwa michezo hiyo. Amesema mkataba unataka mashindano hayo yafanyike ndani yam waka 2020, na kipendele hicho kinaweza kuchukuliwa kama kibali cha kuyaahirisha mashindano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako