• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA:TFF yaondoa utaratibu wa wachezaji kusalimiana kwa kushikana mikono kabla ya mechi

    (GMT+08:00) 2020-03-05 10:24:09

    Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) jana Machi 4, 2020, limesema utaratibu wa wachezaji kusalimiana kwa kushikana mikono kabla ya mechi hautatumika kuanzia hiyo jana kwenye mechi za Ligi Kuu na badala yake watasalimiana kwa ishara. Uamuzi huo ni moja ya hatua za kujilinda dhidi ya maambukizi ya ugonjwa unaotokana na virusi vya korona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako