• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa salamu za rambirambi kwa kifo cha Bw. Javier Perez de Cuellar

    (GMT+08:00) 2020-03-05 17:59:08

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres ameeleza kusikitishwa na kifo cha katibu mkuu wa zamani wa umoja huo Bw. Javier Perez de Cuellar aliyeshika wadhifa huo kuanzia mwaka 1982 hadi mwaka 1991.

    Katika taarifa yake, Bw. Guterres amesema, Bw. Perez de Cuellar alikuwa mwanasiasa hodari, mwanadiplomasia aliyejitolea na mtu mwenye ushawishi mkubwa.

    Perez de Cuellar alifariki mjini Lima, Peru, jana, akiwa na umri wa miaka 100.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako