• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kerr aipa ushindi K'ogalo dhidi ya Ingwe

    (GMT+08:00) 2020-03-05 18:18:30

    Kocha wa zamani wa Simba, Dylan Kerr amedai kuwa timu ya Gor Mahia, almaarufu K'ogalo itashinda dhidi ya wapinzani wao AFC Leopards ama Ingwe katika mechi yao inayotazamiwa kuchezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Moi Kasarani jijini Nairobi. Ingwe, ambao ni wenyeji wa mechi hiyo wako chini ya kocha Steven Polack, lakini Kerr anaamini kuwa Gor Mahia ndio ina nafasi kubwa zaidi ya kuendeleza ubabe dhidi ya wapinzani wake hao kama ilivyokuwa kwenye mzunguko wa kwanza walipowafunga mabao 4 – 1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako