• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • VOLLEYBALL: Timu ya mpira wa wavu ufukweni yaingia kambini

    (GMT+08:00) 2020-03-09 16:18:50

    Timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa wavu wa ufukweni ya wanaume imeingia kambini jijini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya Afrika hatua ya pili kufuzu michuano ya Olimpiki Tokyo 2020. Kocha wa timu hiyo, Alfred Selengia amesema timu yake inajiandaa na mashindano hayo ya Kundi B yenye timu za Ghana, Afrika Kusini, Sudan, Niger na wenyeji Tanzania. Mashindano hayo yanatazamiwa kuanza Machi 27 kwenye ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako