• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SPOTI: Michezo yote yasimamishwa nchini Italia kutokana na mlipuko wa COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-03-10 10:08:03

    Waziri mkuu nchini Italia Giuseppe Conte amesaini pendekezo la kamati ya Olimpiki nchini Italia la kutaka michezo yote Italia ikiwemo Serie A kusimama kwa muda kutokana na mlipuko wa virusi vya korona. Kwa sasa Italia imeripotiwa kuwa Ligi Kuu ya Italia Serie A ni waathirika pia wa maambukizi hayo, Serie A imesimamishwa hadi April 3 2020. Conte amesema eneo lote la Italia linalindwa na kufungwa. Ligi zote zitasimama na Rais wa mikoa yote Italia amekubaliana na maamuzi haya, aidha amewapa pole mashabiki wote wa Serie A pia na kusema inawalazimu waisimamishe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako